DAMSHA

PILAU MASALA

  • Sale
  • Regular price $4.00


PILAU MASALA
Ni mchanganyiko wa viungo mbali mbali ambavyo hutumika kwenye pilau.
*MATUMIZI: *
Kaanga mbatata zako hadi ziwe brown alafu weka vitunguu vyako kaanga hadi viwe brown kisha weka kitunguu thomu, tangawizi na kiungo chako cha DAMSHA pilau masala kijiko kimoja cha chakula alfu weka maji yako hadi yachemkie pamoja na nyama wacha kwa muda wa dakika chache kisha weka kwenye oven.
INGREDIENTS:
Cumin, cinnamon, cardmon, blackpepper, garlic