KISWATU IBAGA SINGIDA
Nashukuru nimepata mzigo wangu
Naona kweli posta mmeamua tusitoke majumbani,tuagize tuu.
Huduma nzuri, nimepata order yangu nikiwa getini kwangu🤗
Kitu nimependa ni kutopata tabu kufwatilia mzigo eti nikachukue.. yani naletewa nilipo.
Hii safi sana.
Kiukwel mafuta mazuri.
Na nimependa hii huduma,Posta mnatuletea adi tulipo.
Nachoomba mzid kuboresha zaid na hasa mtangaze na kwa wengine na wao wajue.