BIRIANI MASALA
Ni mchanganyiko was viungo ambavyo vintumika kupikia biriani
MATUMIZI
Kaanga vitunguu vyako hadi vipige golden brown weka tomatoes, mtindi, fresh ginger, galicand chill fry for few minutes. Weka nyama iliyochemshwa na Damsha biriani masala kaanga kwa muda wa dakika chache weka supu yako changanya pamoja wacha ichemke kwa muda wa dakika kadhaa.
*INGREDIENTS *
Cumin, cinnamon,cardamon,garlic, cloves and ginger
UJAZO
250g