Unga wa Mwani ni Lishe pia ni Lishe Tiba.Mwani unasaidia kiafya kupunguza sumu mwilini na kutibu magonjwa zaidi ya 96.
FAIDA ZAKUTUMIA MWANI
FAIDA ZAKUTUMIA MWANI
- KUONGEZA CD4 (KINGA YA MWILI)
- KUPUNGUZA KIWANGO CHA SUKARI KILICHOZIDI KWENYE DAMU
- KUSAIDIA KUPUNGUZA VIMELEA VYA KANSA
- HUTUMIKA KUPUNGUZA UZITO MKUBWA NA KUONDOA VITAMBI
- HUONDOA HATARI YA MAGONJWA YA MOYO
- UNA MADINI AMBAYO HUDAODIA KUIMARISHA MIFUPA NA MAUNGIO YA MIFUPA.