Vinywaji
Karibu
Chuja
Kuna bidhaa 37
Inaonyesha 24 - 36 kati ya 37 kipengee
Bei ya kawaida $5.00
Ipo kwenye hisa
Unga wa Mwani ni Lishe pia ni Lishe Tiba.Mwani unasaidia kiafya sumu mwilini na kutibu magonjwa zaidi ya 96. FAIDA ZAKUTUMIA MWANI KUONGEZA CD4 (KINGA YA MWILI) KUPUNGUZA KIWANGO CHA SUKARI KILICHOZIDI KWENYE DAMU KUSAIDI...
$1.11
Ipo kwenye hisa
FAITH SUPER RICE, ni mchele toleo la kwanza (Grade A) unaotokea Kyela Mbeya. Unanukia vizuri Ni msafi Unachambuka vizuri ukipikwa.
$2.62
Ipo kwenye hisa
MAFUTA YA KUPIKA IMANI; Ni mafuta ya Alizeti halisi kutokea Singida Tanzania. Yanaandaliwa katika hali ya usafi na Ubora wa hali ya juu YYanakamuliwa na mashine zenye viwango vya kuhifadhiwa katika madumu nadhifu Hayaja d...
$0.70
Ipo kwenye hisa
FAITH SUPER SEMBE: Ni unga wa kupokia ugali, Unaandaliwa kwa kutumia mahindi safi na meupe na ni mlaini. Pia ni mtamu sana na unatia nguvu mwilini. KARIBU UJENGE AFYA YAKO NA FAITH SUPER SEMBE.
Bei ya kawaida $1.70
Ipo kwenye hisa
Tunatoa ubora wa hali ya juu katika Viungo vya Mchele na Heaca Pilau Masala inakupa mchanganyiko wa ladha na harufu inayohitajika ambayo hufanya meza yako kuwa ya furaha zaidi.
Bei ya kawaida $6.00
Ipo kwenye hisa
KOROSHO BORA ZAIDI TANZANIA
Bei ya kawaida $8.50
Ipo kwenye hisa
Asali ya nyuki wadogo Ni tiba juu ya magonjwa mbali mbali Kama Vidonda vya Tumbo, Fangus , magonjwa ya ngozi nk.
Bei ya kawaida $84.00
Ipo kwenye hisa
Asali kilo 28 inauzwa kwa Bei ya Jumla tu. Karibu Sana popote Tanzania Tunatuma.
Bei ya kawaida $2.50
Ipo kwenye hisa
Asali mbichi hii inapatikana kwetu ikiwa imepimwa na kuthibitishwa na mamlaka ya UBORA Tbs.
Bei ya kawaida $4.20
Ipo kwenye hisa
Asali ya Kg 1 inauzwa Tsh 10,000
Bei ya kawaida $5.18
Ipo kwenye hisa
Mavuno ya dhahabu yanatokana na maua aina ya polyflower ya msitu wa miombo kasulu, asali yetu ni ya asili, hakuna joto wala kuchezewa inahitajika katika usindikaji ambayo tunataka kuleta mezani kwako, hii ni asali mbichi 100%.
Inaonyesha 24 - 36 kati ya 37 kipengee