Bidhaa
Chuja
Kuna bidhaa 8
Inaonyesha 1 - 8 kati ya 8 kipengee
Bei ya kawaida $3.50
Ipo kwenye hisa
Sabuni ya LuvTouch Zanzibar Wild-Harvesed Seaweed Soap imeungwa na unga asilia wa Mwani (Seaweed) uliyovunwa kwa mkono na hotuba ya kina mama Zanzibar, na ni 100% Asilia iliyotengenezwa kwa mkono. Unaponunua bidhaa hii ya Mwani...
Bei ya kawaida $3.50
Ipo kwenye hisa
Sabuni Nyeusi ya LuvTouch Organic Zanzibar Black Soap imeungwa na mkaa wa kifuu cha Nazi, karafuu na mdalizasi zinazolimwa Zanzibar. Sabuni Nyeusi ya LuvTouch Zanzibar, ni sabuni ya asili kama yote! Imetengenezwa kwa mkono na ...
Bei ya kawaida $3.50
Ipo kwenye hisa
Sabuni ya LuvTouch Zanzibar Cinnamon Soap imeungwa na unga asilia wa Mdalasini (Cinnmon) na inafaa sana kwanza aina zote. Tafiti za Kisayansi zimeshathibitisha kwamba asilimia 99.9 ya virusi na bakteria haviwezi kuishi palipo m...
Bei ya kawaida $3.50
Ipo kwenye hisa
Sabuni ya LuvTouch Zanzibar Coconut Soap imetengenezwa kwa kutumia mafuta ya asilia (Virgin Coconut Oil - VCO). Sabuni hii imesheheni ndani yake mafuta ya nazi ya asili ambayo yana utajiri wa protini na ni nzuri kwa ngozi nyeti...
Bei ya kawaida $1.70
Ipo kwenye hisa
Chai ya Heaca ni mchanganyiko wa mimea na mizizi ya kikaboni ambayo hukupa ladha, afya na nishati inayohitajika ambayo huhakikisha tabasamu katika kila seep unayotumia.
Bei ya kawaida $4.30
Ipo kwenye hisa
Mchanganyiko wa asali, vitunguu, mdalasini, tangawizi Ufanisi katika kusaidia mfumo wa kupumua