SOYA MILK POWDER

acessível
Em estoque

SKU:

Category: Drinks, Hot under $10

Tag: Food & Beverage

23/12/2020 GEEDASA ENTERPRISES Apr 02, 2019 AFYA: Faida Za Kunywa Maziwa Soya Na Dokt Gerly Daniel Sandor gerldaniel43@gmail.com MAZIWA  SOYA hutupatia angalau vitamini zote kama vitamini A, D, E na...

Preço normal $6.00 Promoção

Size: 1kg
Color: Blue
Blue
Quantidade
23/12/2020
GEEDASA ENTERPRISES
Apr 02, 2019
AFYA: Faida Za Kunywa Maziwa Soya
Na Dokt Gerly Daniel Sandor
gerldaniel43@gmail.com
MAZIWA  SOYA hutupatia angalau vitamini zote kama vitamini A, D, E na hadi K. Pia yana madini ya calcium.
*Hujenga na kulainisha ngozi*
Vitamini na virutubisho vilivyomo ndani ya maziwa ni muhimu kwa ajili ya ngozi bora.
Huimarisha meno
Maziwa soya  ni chanzo bora cha madini ya kalisiamu yaani Calcium. Pia huzuia kutoboka na kuoza kwa meno. Kalisiamu hufyonzwa na miili yetu kukiwa na vitamini D.
Huimarisha mifupa
Watoto  wanahitaji kunywa maziwa soya ili kuimarisha ukuaji wao. Pia watu wazima wanahitaji kunywa maziwa soya ili kulinda na kuimarisha mifupa yao dhidi ya magonjwa kama vile udhaifu wa mifupa au kitaalamu Osteoporosis. Maradhi haya huzuiliwa kwa kalisiamu ipatikanayo kwenye maziwa na ambayo hufyonzwa kutokana na uwepo wa vitamini D.
*Kujenga misuli*
Maziwa soya yanachangia katika ukuaji wa misuli. Hili ni kutokana na protini zinazopatikana kwenye maziwa. Wanariadha wengi hunywa maziwa baada ya mazoezi. Hii ni kwa ajili ya kuupa mwili virutubisho vya kutosha kwa ajili ya kujijenga tena. Maziwa soya huzuia maumivu ya misuli pamoja na kurudisha ute ulipotea kwenye misuli wakati wa kazi mbalimbali.
*Kupunguza uzani*
Wanawake wanaokunywa maziwa hupunguza uzito zaidi kuliko wale wasiokunywa. Inashuriwa kunywa maziwa soya wakati wa chakula cha jioni au unapokula matunda. Pia maziwa yanaweza kutumiwa kama kileta hamu ya kula chakula (appetiser).
*Huzuia maumivu wakati wa hedhi*
Wanawake wengi hupata maumivu wakati wa hedhi. Maziwa yamethibitishwa kuzuia na kupunguza maumivu haya kwa kiasi kikubwa.
*Huongeza nguvu mwilini*
Je, unaishiwa nguvu mapema au kuchoka sana? Unahitaji virutubisho vilivyomo kwenye maziwa. Hivi vitaupa mwili wako nguvu mpya na kukufanya kuwa mwenye nguvu siku nzima.
*Huondoa kiungulia*
Kiungulia husababishwa na asidi zipatikanazo tumboni. Hivyo maziwa soya (ambayo si mgando) hutengeneza utando maalumu tumboni ambao hupambana na asidi hizi.
Kwa hiyo unywaji wa maziwa soya (ambayo si mgando) utakusaidia kupambana na tatizo la kiungulia.
*Hupambana na maradhi mengine*
Utafiti umebaini kuwa maziwa huzuia magonjwa. Magonjwa au hali hizi ni kama vile shinikizo la damu. Inaaminika pia maziwa soya hupunguza lehemu (cholesterol) saratani n.k

Customer Reviews

Be the first to write a review
0%
(0)
0%
(0)
0%
(0)
0%
(0)
0%
(0)

Lorem ipsum dolor sit amet


Vivamus a placerat dolor. Proin ut vehicula mauris. Etiam sagittis augue ipsum. Aliquam vestibulum massa nulla, ullamcorper aliquam diam feugiat vel. Fusce porttitor ultrices ante, posuere vehicula lacus tempor eu. Sed et purus et massa mattis aliquet ac vel dolor. Pellentesque eros lectus, placerat nec finibus ac, lobortis eu risus.

Donec fringilla metus ligula, sit amet fermentum ex laoreet non


- Ribbed and double stitched collar and armholes

- High-density fabric for vivid print clarity

- Machine-wash safeSingle right rear button flap pocket

- Products are proudly printed in the United States


Curabitur egestas suscipit odio. Nam vitae aliquam dui

in laoreet elit. In posuere augue id velit placerat, vitae porttitor leo aliquet. Aenean non ligula sed lorem eleifend aliquam. Morbi posuere faucibus viverra. Proin ullamcorper, lorem lacinia cursus finibus.

Nullam at mi accumsan, fermentum turpis at, hendrerit tortor


Vivamus commodo magna rutrum ipsum convallis luctus. Maecenas sollicitudin tincidunt sem at consectetur. Sed ligula elit, sodales feugiat porttitor non, commodo in ipsum. Donec vehicula orci et pharetra laoreet. Donec feugiat, nibh ac ornare hendrerit, dui augue semper felis, a finibus dui felis quis magna. Curabitur a ligula purus. Suspendisse vestibulum lorem non tellus aliquet blandit.

Proin cursus sollicitudin scelerisque. Donec ultrices elit quis magna lobortis porttitor. Quisque et consectetur mauris. Sed facilisis malesuada ante eget blandit. Class aptent taciti sociosqu ad litora torquent per conubia nostra, per inceptos himenaeos. Pellentesque rutrum mattis ex ac sagittis. Nulla convallis euismod ipsum, a mollis sapien fringilla eget. Nam dignissim ornare nisi, in bibendum nibh auctor id.

Quisque dictum justo id velit dapibus, id mollis diam tincidunt. Donec luctus tincidunt ultrices. Sed condimentum ante accumsan, sagittis lorem quis, dictum enim. Nam et facilisis odio. Ut iaculis dui non interdum accumsan. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Fusce lacus sem, molestie non convallis nec, tristique a lacus. Proin eget lacus semper dui imperdiet accumsan. Morbi sagittis erat ac justo congue, a ornare tortor mollis. Aenean eu vulputate diam. Praesent suscipit ex non elit finibus ultricies.

img
Produto relacionado

Customer Reviews

Be the first to write a review
0%
(0)
0%
(0)
0%
(0)
0%
(0)
0%
(0)