Makuku Mia -Dar es salaam

Chick Clay Pots - Vyungu vya Udongo vya kulelea vifaranga

  • Sale
  • Regular price $5.00


Chick Pots
Pots
 for growing chics withstand fairly for low temperatures
It helps to reduce electricity costs, it reserves heat for 10-12 hours.
One-Pot is enough to grow 100 Chicks.

Vyungu vya kulelea vifaranga mbadala wa taa za joto,vitakusaidia kupunguza gharama za umeme,vinatunza joto kwa saa 10-12.Kimoja kinatosha kulelea vifaranga 100.