TANDOORI MASALA
No mchanganyiko wa spices ambazo hueka katika kuku kwa ajili ya kuleta test na kuengeza rangi katika kuku kuwa nyekundu
MATUMIZI
Andaa kuku wako weka thomu na tangawizi kisha weka Damsha tandoori masala wacha dakika 10 mpaka 15 kisha choma kuku wako au kaanga
*INGREDIENTS *
Coriander, cumin, garlic, chilli, cinnamon, ginger, black pepper, mate, salt, clove food color