STEM CELL (SELISHINA)
Seli inayouhisha seli zilizodumaa kurekebisha seli zilizoharibiwa na magonjwa mbalimbali madawa,au mfumo wa maisha tunayoishi ,tekinologia ya stem cell inauwezo wa kuzalisha seli mpya na kuokoa maisha ya mgonjwa kadri umri unavyosonga mbele .Seli nyingi zinaharibika na kufa kabisa hivyo hufanya na usababisha magonjwa kama kisukari magonjwa ya figo ,saratani ,kiarusi vidoda vya tumbo magonjwa ya ini ,moyo,mapafu kutomudu tendo la ndoa seli mundu,kupoteza kumbukumbu ,pumu ,matatizo ya mgongo, HIV uvimbe tumboni ,matatizo ya magoti,macho, tezi dume,matatizo ya uzazi ,misuli n.k
Stem Cell Function :
Anti oxidant
Renews Skin
Improves Vision
Boosts Immune System
Combats Chronological Aging