Refasha Seaweed Hair Steaming
Promotes hair growth, prevents hair breakage, cleans the scalp by removing dirty and dead hair and leaves hair soft and shining.
Huimarisha ukuaji wa Nywele , huzia kukatika kwa nywele, hueka ngozi ya kichwa safi na kuondoa nywele zilizokufa na kuifanya nywele laini na yenye kung’aa.