Teonas Aswile (Dar es Salaam)

Nguli wa Utangazaji TANZANIA

  • Sale
  • Regular price $5.00


 

NGULI WA UTANGAZAJI TANZANIA ni Kitabu kinachozungumzia Watangazaji wa zamani kama Ahmed Jongo "Mzee wa Maguu 12 ya Mtu mzima", Ben Kiko "Mzee wa ripoti za mikoani", Jacob Tesha "Sauti ya Mamlaka", Deborah Mwenda "Vipindi vya Watoto-TBC", Selemani Hegga "Mzee wa Mikingamo", Paul Sozigwa "Mzee wa Mazungumzo baada ya Habari", Masoud Masoud "Manju wa Muziki", Tido Mhando "Gwiji wa Mahojiano", Edda Sanga "Sauti ya Kubembeleza" na wengine wengi.

Ni Kitabu Bora cha kujisomea kwa Kila Mtanzania na Vyuo vyote vya Uandishi wa Habari na Utangazaji.