Javonproducts

Javon lemon lotion

  • Sale
  • Regular price $8.65


Javon Body & Facial lemon lotion.

(Lotion Ya Mwili na Sura lliyotengenezwa kwa
Limao) 
Kuna Faida Nyingi zinazopatikna
kwenye Limao ( Ndimu/ lemon)

Limao ni Moja ya tunda muhimu Sana nyumbani na jikoni.
Ni tunda ambalo linafaida nyingi sana
kwenye afya Ya mwili wako.Ukinywa Maji Ya Limao  au ukipaka kwenye Ngozi faida ni Nyingi Sana.
Leo nitaongelea Faida 5 za kutumia limao
Kwenye Utunzaji Bora wa Ngozi
Yako;
1.Kusafisha Uso: Kwa Wale wenye
Ngozi zenye mafuta mengi, limao
inasaidia Kupunguza mafuta kwenye
Ngozi. (Kamua maji ya limao kisha jipakee
usoni, ) hii itasaidia kukausha mafuta yanayozidi
Kwenye Ngozi.
2.Kuzuia na kutibu chunusi.
Moja ya sababu za uso wako kuwa na
chunusi ni wingi wa mafuta kwenye
Ngozi, utumiaji Wa maji Ya Limao
itakusaidia Kupunguza wingi wa mafuta
hivyo Kuzuia kupata chunusi. Na Kwa
Wale wenye chunusi kutibu kabisa tatizo
la chunusi na vipele.
3.Limao ni ANTIBACTERIAL na pia ina
CITRIC AID ambazo pamoja na faida
nyingi inasaidia kuondoa madoamadoa
kwenye Ngozi. Hata zile blackspot
ulizipata baada ya kupona chunusi.
4.Kung'arisha Ngozi.
wingi wa vitamin C zilizopo kwenye Limao zinasaidia Ngozi yako kuwa Collagen za kutosha .
Collagen ndio protein inayotengeneza
Ngozi.
5. Wingi wa Vitamin C inasaidia kuondoa mikunjo kwenye Ngozi, Yaani ule muonekano wa uzee ( ant
aging). Kwa mtu anae tumia Limao kila siku ataonekana kijana hata Kama umri ni mkubwa.

Nini lakufanya?
Safisha Ngozi Yako kwa maji ya Limao kila siku.
Ila ukishindwa Fanya hivi!

Tumia Sabuni Ya Lemon kwa ajili ya kuogea, Kisha jipake lotion Ya lemon.
 Hii sio Ya kukosa.