DAMSHA

GARAM MASALA

  • Sale
  • Regular price $4.00


GARAM MASALA 
Huu no mchanganyiko wa spices ambao husaidia kuwivisha nyama yako kwa urahisi na kukata shombo ya nyama pia huleta test kwa nyama yako.
MATUMIZI
Andaa nyama yako weka thomu na tangawizi kisha weka Damsha garam masala yako iwache kwa muda wa dakika 15 mpaka 20 alafu weka chemsha au weka kwenye oven.