DAMSHA

FISH MASALA

  • Sale
  • Regular price $4.00


FISH MASALA
Ni spice ambayo hutumika kukata shombo ya samaki na kuketa ladha nzuri kwa samaki
MATUMIZI
changanya samaki wako na Damsha fish masala kabla ya kukaanga au kuchoma kisha wacha kwa dakika 10 kisha kaanga au back kwenye oven
INGREDIENTS
Cumin, coriander, cloves, fennel, Tumeric, chilli and blackpepper