MWEMBE STORE

dagaa Kigoma wakubwa 1kg (RUKWA)

  • Sale
  • Regular price $8.03


jipatie dagaa wakubwa aina ya kigoma kutoka ziwa tanganyika wanaradha nzuri sana pia ni watamu wanauzwa kwa kilogram kuanzia moja na kuendelea. karibuni sana wateja.