DAMSHA

CHIKEN MASALA

  • Sale
  • Regular price $4.00


CHICKEN MASALA
Ni mchanganyiko was viungo ambao hutumika katika kuku wa kukaanga, kuchoma ama supu ya kuku
MATUMIZI
andaa kuku wako mueke thomu na tangawizi kisha weka Damsha chicken masala muache kwa dakika 10 au 15 kisha chemsha supu yako au kaanga kuku wako
*INGREDIENTS *
cumin, chill, cloves, nutmeg, ginger, cinnamon, garlic and sanchur
UJAZO
250g