Produits
Filter
Il y a 8 produits
Affichage de 1 - 8 élément 8
Prix régulier 14.00 TZS
En stock
SIAGI MWALI YA KAKAO (Organic Cocoa Butter) ni mafuta ya mgando yanayotengenezwa kwa mkono kutokana na zao la Kakao linayolimwa hapa hapa Tanzania. Mafuta haya ya mwili ni PURE Organic Cocoa Butter na imekuwa moja ya bidhaa "la...
Prix régulier 7.00 TZS
En stock
Tumia mafuta ya kukuza nywele ya LuvTouch Hair Growth Oil yaliyosheheni aina Saba (7) ya mafuta ya asili yanayosaidia kukuzana na kutunza nywele zako ziwe zenye afya na mvuto. Nywele safi, zisizokuwa kavu, zisizokacha na tena z...
Prix régulier 3.50 TZS
En stock
Sabuni Nyeusi ya LuvTouch Organic Zanzibar Black Soap imeungwa na mkaa wa kifuu cha nazi, karafuu na mdalizasini zinazolimwa Zanzibar.  Sabuni Nyeusi ya LuvTouch Zanzibar, ni sabuni ya asili kama yote! Imetengenezwa kwa mkono n...
Prix régulier 3.50 TZS
En stock
Sabuni ya LuvTouch Zanzibar Cinnamon Soap imeungwa na unga asilia wa Mdalasini (Cinnmon) na inafaa sana kwanza aina zote. Tafiti za Kisayansi zimeshathibitisha kwamba asilimia 99.9 ya virusi na bakteria haviwezi kuishi palipo m...
Prix régulier 3.50 TZS
En stock
Anza siku yako kwa marashi ya Karafuu yaliyomo kwenye sabuni ya kuoga ya LuvTouch Zanzibar Clove Soap. Karafuu imetumika karne nyingi zilizopita, ina faida nyingi za tiba kwa afya na ngozi, ndiyo sababu ni maarufu katika uwanja...
Prix régulier 3.50 TZS
En stock
Sabuni ya LuvTouch Zanzibar Coconut Soap imetengenezwa kwa kutumia mafuta ya nazi asilia (Virgin Coconut Oil - VCO). Sabuni hii imesheheni ndani yake mafuta ya nazi ya asili ambayo yana utajiri wa protini na ni nzuri kwa ngozi ...
Prix régulier 17.82 TZS
En stock
Nourishing skin, Hair growth, Cooking Oil
Prix régulier 10.40 TZS
En stock
Quality products from Livanaa Trades