Aina 366 za YESU: Je, unamjua Yupi?
Ni chapisho maalumu kwa watu
wote!..ikizingatiwa kuwa Mwanadamu
ameumbwa kwa umbile la kukua kwa njia ya
kujifunza ili aweze kuishi vyema katika kipindi cha uhai wake. Katika chapisho hili utajifunza, kujua na kufahamu mambo yahusuyo Mungu na jinsi ya kuhusiana nayekila siku katika Kristo Yesu…maana ndivyo alivyojidhihirisha ili kukufundisha juu ya mapenzi yake kwako.
Baada ya kupata maarifa…washirikishe pia na watu wengine jambo hili jema.
Mwl. Kashasha ni mtumishi wa Mungu na WATU mwenye neema ya
kufundisha na kuhubiri habari njema inayoweka mtu na utu wake huru…katika maisha ya sasa na baada ya sasa.
Mawasiliano:
+255 718 181 708 / +255 756 705 555
pastorkashasha@gmail.com, tvof@gmail.com