JIKO BOMBA ( jiko la chenga za mkaa, mawe, kuni, pumba na chochote kinachowaka)
JIKO JANJA ( jiko la chenga za mkaa)
No reviews
Sale
Regular price$72.89
9 available
Jiko hili linauwezo wa kutumia chenga za mkaa, kuni, pumba na makaa ya mawe na linawaka zaidi ya jiko la gas. Linasehemu ya kuongeza na kupunguza moto. Linafaa kutumika nyumbani, mashuleni, migahawani na mahitelini.